Sibanduki ng'o! asema jaji mkuu Koome

  • | KBC Video
    1,605 views

    Jaji mkuu Martha Koome amepuuzilia mbali mipango ya kumwondoa kwenye wadhifa wa mkuu wa idara ya mahakama. Koome pia amekanusha madai kuhusiana na ufisadi na usimamizi duni katika taasisi hiyo akikariri kwamba idara ya mahakama imechukua hatua kabambe kukabiliana na maovu hayo. Aliyasema hayo leo alipoongoza uzinduzi wa wakfu wa Echo Network Africa jijini Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive