Siku ya Wangari Maathai yaadhimishwa Nairobi

  • | KBC Video
    50 views

    Wataalamu wa masuala ya mazingira wanahimiza utekelezaji kikamilifu wa sheria zilizopo za kuhifadhi mazingira na mali asili. Wanasema licha ya juhudi za uhifadhi kuimarishwa, misitu ya humu nchini bado inakumbwa na uharibifu mkubwa unaotishia hali ya anga, bio anuwai na maisha ya Wakenya. Haya yalisema wakati wa maadhimisho ya siku ya Wangari Maathai jijini Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive