Siri katika kiwanda cha dawa zinazosababisha uraibu

  • | BBC Swahili
    968 views
    BBC imefanya uchunguzi wa siri katika kiwanda cha dawa India ambacho kinatengeneza dawa aina ya Tafrodol inayosababisha uraibu ambayo pia imechanganywa na dawa ya kutuliza misuli. Mtengenezaji wa dawa hiyo kutoka India ameiambia timu ya siri ya BBC kwamba dawa hiyo ni "hatari sana" lakini "hii ni biashara.Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw