Sitajiuzulu!, asema jaji mkuu Martha Koome

  • | KBC Video
    2,961 views

    Jaji mkuu Martha Koome ametangaza waziwazi kwamba hatajiuzulu. Kauli hiyo inajiri kufuatia ombi lililowasilishwa na aliyekuwa rais wa chama cha wanasheria nchini (LSK) Nelson Havi, akitaka kubanduliwa afisini kwa Martha Koome pamoja na majaji wengine wa mahakama ya upeo. Katika ombi lililowasilishwa mnamo Jumatatu, Havi anataka Rais William Ruto kubuni jopo la kumchunguza Martha Koome na majaji wenzake kwa madai ya utovu wa nidhamu miongoni mwa madai mengine. Huyu hapa ni ripota wetu Abdiaziz Hashim na mengi kwa kina kuhusiana na kashfa inayowakabili majaji wa mahakama ya upeo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive