SOKO CHAFU MAGONGA

  • | Citizen TV
    271 views

    Wafanyabiashara wa soko la Mogonga, kule Bomachoge Borabu kaunti ya Kisii wameapa kususia kulipa ushuru kutokana na hali mbovu ya soko hilo.

    Wakizungumza katika kikao kilichowaleta pamoja zaidi ya wafanyabiashara 200 katika soko hilo, wenyeji wamelalamikia serikali ya kaunti ya Kisii kwa kupuuza hali yao licha ya mazingira mbaya ya kufanyia biashara wakihofia ata mlipuko wa magonjwa .