Soko la Kibuye Kisumu lafungwa kufuatia uchafu na hatari ya kipindupindu

  • | NTV Video
    317 views

    Soko la Kibuye mjini Kisumu limefungwa rasmi. Hii ni kufuatia kile wasimamizi wa kaunti hiyo wanasema ni uchafu uliopita kiasi pamoja na ukosefu wa maji safi ya matumizi na hivyo kuhofia kulipuka kwa ugonjwa wa kipindupindu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya