Spain: Kongamano lenye ushawishi mkubwa lafanyika, kampuni mashuhuri zashiriki

  • | VOA Swahili
    138 views
    Kongamano la kiteknolojia lenye ushawishi mkubwa lafanyika kila mwaka, linalowaleta pamoja wadau wa tasnia ya teknolojia. Ungana na mwandishi wetu akikuletea washiriki wakuu katika maonyesho haya na nini mchango wao katika nyanja mbalimbali za kiteknolojia... #kongamano #teknolojia #ushawishi #wadau #tasnia #washiriki #makampuni #maonyesho #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.