Sportpesa yaekeza Sh70m ambazo zitashindaniwa katika makala ya pili ya tamasha la Tujiamini

  • | NTV Video
    62 views

    Kampuni ya kamari ya SportPesa imejikita katika kugundua na kukuza vipaji mashinani na kitaifa.

    Sportpesa chini ya utawala wake afisa mkuu mtendaji Ronald Karauri imeekeza kitita cha shilingi milioni 70 ambazo zitashindaniwa katika makala ya pili ya tamasha la Tujiamini la mwaka huu wa 2025.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya