Stephen Munyakho aokolewa dhidi ya kunyongwa

  • | KBC Video
    196 views

    Kamati ya kushughulikia kuachiliwa kwa Steven Betrand Munyakho, Mkenya aliyehukumiwa kifo nchini Saudi Arabia imesema ingali kupata mawasiliano rasmi ya kulipwa kwa shilingi milioni 129 ili aachiliwe.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive