Stima Plaza yanadhifishwa na kaunti ya Nairobi

  • | KBC Video
    44 views

    Siku chache baada ya kutupa taka katika makao ya kampuni ya stima ya KPLC ya Stima Plaza, maafisa kutoka serikali ya kaunti ya Nairobi leo walinadhifisha eneo hilo. Kulingana na afisa mkuu wa kaunti ya Nairobi Tom Nyakaba, mzozo uliokuwepo kati ya serikali ya kaunti ya Nairobi na kampuni ya Kenya Power umetatuliwa. Serikali ya kaunti ya Nairobi iliangaziwa kwa hatua yake ya kumwaga taka katika kampuni hiyo ya umeme, huku pande hizo mbili zikizozana kuhusiana na malipo ya madeni yaliyokuwepo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive