Suluhisho mbadala la mizozo

  • | Citizen TV
    114 views

    Jamii ya wamaasai imeshabikia zoezi la kusuluhisha migogoro kwa upatanisho nje ya mahakama ambapo wazee huhusishwa kwenye zoezi hilo. Katika hfla moja eneo la torosei, kajiado magharibi, wakazi wanaokabiliwa na mizozo ya ardhi kwa miaka mingi, wazee wa Tanzania na Kenya walifanya kikao chini ya mti kutatua migogoro hiyo.