Super Metro yaisuta NTSA kwa kufutilia mbali leseni yao ya kuhudumu

  • | NTV Video
    19,927 views

    Mamlaka ya kitaifa ya usalama barabarani NTSA imefutilia mbali kwa muda leseni ya kampuni ya matatu ya Super Metro ikisisiza kuwa magari 15 yao ya uchukuzi wa umma yalikuwa yakiwabeba abiria huku leseni zikiwa zimepita wakati uliokusudiwa.

    Wasimamizi wa metro wameitisha mkutano na waandishi wa wa habari acha tusikie wanasemaje.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya