Taasisi za elimu zimetakiwa kutumia hafla za michezo na utamaduni kukuza talanta shuleni

  • | NTV Video
    80 views

    Kama njia mojawapo ya kukuza umoja wa kitaifa na mshikamano wa jamii mbalimbali, taasisi za elimu zimetakiwa kutumia hafla za michezo na utamaduni shuleni, sio tu kukuza talanta bali pia kuwalea wanafunzi wenye uzalendo na maadili mema kwenye jamii.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya