Taasisi zote za umma na kibinafsi zatakiwa kuwa na maabara

  • | KBC Video
    5 views

    Taasisi zote za mafunzo za umma na za kibinafsi zilizopewa leseni za kutoa kozi za lishe zimepewa muda wa miezi 6 kupata ujuzi maalum wa mafunzo ya maabara .Afisa mkuu wa Taasisi ya wataalam wa lishe nchini Dr. David Okeyo alisema kuwa hakuna maabara katika taasisi za kutoa mafunzo na hivyo kuathiri mafunzo ya wanagenzi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive