Tajiri kapatwa akiiba ngombe za mlalahoi Nakuru; Wakazi wachukua sheria mkononi kumkabili mhuni huyo

  • | TV 47
    439 views

    Tajiri kapatwa akiiba ngombe za mlalahoi Nakuru; Wakazi wachukua sheria mkononi kumkabili mhuni huyo

    Mshukiwa wa wizi wa ng'ombe eneo la Flyover mpakani mwa kaunti ya Nakuru na Nyandarua ameponea mauti chupuchupu hii leo baada ya wakazi wa eneo hilo kuvamia makazi yake na kuyateketeza yakiwemo magari 3 baada ya ng’ombe wa jirani yake walio- potea kupatikana kwake.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __