Takriban watu 71 wamefariki katika ajali ya lori Ethiopia

  • | BBC Swahili
    1,333 views
    Lori lililobeba abiria waliotoka kwenye harusi laanguka na kuua takriban watu 71 kusini mwa Ethiopia. Lori hilo lilitumbukia mtoni ambapo polisi waliripoti kwamba lilikuwa limejaa kupita kiasi. #bbcswahili #ethiophia #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw