Takribani watu 10 wauawa katika maandamano Kenya

  • | BBC Swahili
    1,687 views
    Takribani watu 10 wameuawa na wengine 45 wamejeruhiwa katika maandamano ya kupinga muswada wa Sheria ya Fedha yaliyofanyika nchini Kenya Jumanne Waliojeruhiwa wamepelekwa katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta jijini Nairobi, hospitali kubwa zaidi ya rufaa nchini humo #bbcswahili #kenya #maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw