Tamasha la Land Rover festival Tanzania

  • | BBC Swahili
    9,914 views
    Tamasha la siku tatu la Land Rover festival limefikia Tamati huku wapenzi na wakazi wa Mkoa wa Arusha kaskazini mwa Tanzania wakisubiri tangazo rasmi kama wameweka rekodi ya kuwa ba msafari mrefu zaidi wa magari hayo kwa wakati mmoja. #bbcswahili #tanzania #arusha Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw