5 Nov 2025 10:14 am | Citizen TV 1,116 views Duration: 4:32 Sherehe ya utamaduni wa Jamii ya Maa ambayo imewaleta pamoja wakazi wa Jamii hiyo Kutoka kaunti za Samburu, Narok,Kajiado na Laikipia inaanza rasmi hii Leo, Katika Mbuga ya Amboseli, Kaunti ya Kajiado