Skip to main content
Skip to main content

Tamasha ya utamaduni ya jamii ya Maa yaandaliwa Kajiado

  • | KBC Video
    228 views
    Duration: 3:30
    Ilikuwa sherehe ya utamaduni iliyounganishwa na utalii huku mamia wakikusanyika kwa ajili ya makala ya tatu ya tamasha ya utalii ya Utamaduni wa Maa katika Hifadhi ya Kitaifa ya Amboseli, Kaunti ya Kajiado. Hafla hii ilijumuisha maonyesho ya rangi huku jamii ya maa ikionyesha mavazi yao ya kitamaduni, bila kusahau densi yao ya kipekee huku Wamorani wakijaribu kushindana walipokuwa wakiruka katika nyimbo na densi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive