Taratibu za kukusanya maoni

  • | Citizen TV
    697 views

    Wakenya sasa watakuwa na siku ya ziada hapo kesho kuendelea kutoa maoni kuhusiana na hoja ya kumuondoa naibu rais ofisini. Hii ni baada ya bunge la kitaifa kuongeza muda pamoja na agizo kuwa zoezi hilo litaendelea katika ofisi za maeneo bunge na zile za wawakilishi wa kike kote nchini