Tazama mama na mwana katika mbio za magari Kenya

  • | BBC Swahili
    165 views
    Katika mbio za magari, Caroline Gatimu anachukua jukumu la kumuelekeza binti yake Tinashe katika mashindano ya magari. Timu hiyo ya mama na mtoto wake wa kike, wanashiriki katika mashindano ya Safari Rally, yaliyoanza leo Alhamisi ya Machi 20 nchini Kenya. Safari rally ni moja ya mashindano ya magari katika msusururu wa mbio za magari duniani WRC. Celestine Karoney anaripori zaidi #bbcswahili #kenya #SafariRallyKenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw