Skip to main content
Skip to main content

Tazama mpiga mbizi huyu akizama mita 125 baharını kwa pumzi moja tu

  • | BBC Swahili
    7,324 views
    Duration: 1:22
    Alexey Molchanov wa Urusi ameweka rekodi mpya ya dunia baada ya kuzama kwa kina hicho kwa pumzi moja tu. Molchanov amevunja rekodi yake mwenyewe ya dunia ya mwaka 2024 ya mita 125. 🎥: Frank Mavura #bbcswahili #urusi #michezo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw