- 4,534 viewsDuration: 31sTazama nyumba na maduka yalipokuwa yakiathiriwa na tetemeko la ardhi lililotokea pwani ya Ufilipino Watu wanaonekana wakishikana na kukumbatiana kwenye mtaa wa Jiji la Cebu na wanyama wanakimbia kwa hofu. Takriban watu 69 wamefariki katika tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.9 huko Ufilipino - - #bbcswahili #ufilipino #tetemeko