Tazama roketi ya Elon Musk ilivyoshuka na kuvunja rekodi

  • | BBC Swahili
    919 views
    Tazama roketi ya Starship ya Elon Musk ilivyokamilisha jaribio la kihistoria baada ya kufanikiwa kurudi katika mnara wa kurushia roketi. Nusu ya chini ya chombo cha SpaceX ilirudi karibu na mnara wa uzinduzi, ambapo ilikamatwa na kuingia kwenye mitambo mikubwa, kama sehemu ya jaribio lake la kwanza. Hii inaleta matumaini ya malengo ya SpaceX ya kutengeneza roketi inayoweza kutumika tena na inayoweza kupelekwa haraka na kuirudisha salama. #bbcswahili #elonmusk #spaceX Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw