Tazama tetemeko la ardhi livyopiga Tibet China.

  • | BBC Swahili
    800 views
    Tazama watu wakikimbia na vitu vikianguka wakati tetemeko la ardhi likipiga katika eneo la Tibet huko nchini China. Waokoaji wanaendelea kutafuta walioathirika na tetemeko hilo huku kukiwa na hofu kwamba halijoto ya usiku inaweza kushuka hadi -18C (17F). Takriban watu 95 wamethibitishwa kufariki na wengine 130 kujeruhiwa huku zaidi ya majengo 1,000 yameharibiwa. Tetemeko lilikuwa na ukubwa wa 7.1 na kina cha kilomita 10 (maili sita), kwa mujibu wa data kutoka kituo cha Utafiti wa Jiolojia Marekani. #bbcswahili #china #tibet Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw