Teresiah Gateri ndiye mbingwa wa mita 1500 katika riadha ya Betika Bingwafest

  • | NTV Video
    74 views

    Teresiah Muthoni Gateri alishinda dhahabu katika mbio za mita 1500 wakati wa raundi ya PWANI ya Betika BingwaFest iliyofanyika uwanja wa chuo cha mafunzo ya waalimu cha Shanzu jijini Mombasa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya