Timu ya besiboli yaanza kwa kishindo katika mchuano wa Afrika Mashariki

  • | Citizen TV
    112 views

    Timu ya taifa ya mchezo wa besiboli kwa wachezaji watano imeanza kwa kishindo katika mchuano wa Afrika Mashariki kwa kushinda mechi mbili za ufunguzi zilizochezwa katika chuo kikuu cha afrika nazarene hapa Nairobi.