Timu za Olteiyani FC na Rombo Kilimanjaro washinda ligi ya FKF Kaunti ya Kajiando

  • | Citizen TV
    175 views

    Timu za Olteiyani FC kutoka Kajiado Magharibi na Rombo Kilimanjaro kutoka Kajiado kusini ndio mabingwa wa ligi ya FKF Kaunti ya Kajiado, baada ya kumaliza kwa alama sawa kwenye kipute cha kumsaka bingwa wa ligi hiyo ambayo ilitamatika mwaka jana.