Tishio la Malaria Kilifi

  • | Citizen TV
    125 views

    Huku msimu wa mvua ya masika ukiendelea, idara ya afya kaunti ya Kilifi imewataka vijana na akina mama wajawazito kujikinga dhidi ya ugonjwa wa malaria.