Trump atishia kuongeza ushuru China, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    10,163 views
    Taifa la China limeishutumu Marekani kwa kuilaghai na kuapa kukabiliana na hali hiyo hadi mwisho, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutishia kuongeza ushuru zaidi kwa bidhaa za China zinazoingia Marekani. Trump amesema ataongeza ushuru kwa bidhaa kutoka China kwa zaidi ya asilimia 100, ikiwa Beijing haitaondoa ushuru wake wa kulipiza kisasi kwa bidhaa za Marekani.