Trump na Biden wanafursa katika sera ya bhangi uchaguzi mkuu
Bhangi ni suala nadra la makubaliano katika Amerika iliyogawanyika kisiasa, huku ukusanyaji maoni ukionyesha kwamba asilimia 88 ya Wamarekani wanaunga mkono walau kwa kiasi fulani kuhalalisha bhangi.
Lakini watetezi wa bhangi wanasema hakuna mgombea hata mmoja wa juu wa urais anatumia mitazamo inayobadilika.
Takriban robo tatu ya Wamarekani wanaishi katika majimbo ambako bhangi ni halali kutumiwa kwa ajili ya matibabu. Nusu ya idadi ya watu wanaishi katika maeneo ambako bBhangi inaruhusiwa kwa starehe.
Lakini Bhangi bado inaendelea kutizamwa kuwa si halali kwa mujibu wa sheria ya serikali kuu, ambako imewekwa pamoja na heroine na LSD kama dawa isiyo ya matumizi ya matibabu yanayokubalika kwa hivi sasa na kuna uwezekano mkubwa ikatumiwa vibaya.
Idadi kubwa ya wapiga kura wa Marekani ambao wanadhani kwamba ni vyema mabadiliko yafanyike kwa bhangi ni fursa muafaka kwa wagombea urais Joe Biden na Donald Trump, hasa miongoni mwa wapiga kura vijana, kwa mujibu ….. . … Scotty Smart, ambaye ni mratibu wa jumuiya katika kundi la kiraia la New Georgia Project.
Scotty Smart, New Georgia Project anaeleza: “Watu wengi hawaelewi sera. Watu wengi hawafahamu jinsi sera zinavyoathiri maisha ya kila siku. Nadhani banghi ni suala ambalo linachochea na kuwasisimua vijana wadogo kulipa mtizamo.”
Caroline Phillips, National Cannabis Festival amesema: “Kwa wote hao, jambo moja ambalo wanafana ni kwamba rekodi yao juu ya bhangi imekuwa haiendani na inaongezeka. Tumesikia ahadi kutoka kwa tawala zote mbili, hakuna hata moja
ambaye amejitokeza wazi wazi.”
#bhangi #marekani #siasa #wamarekani #wagombea #urais #uchaguzi #voa #voaswahili #dunianileo #donaldtrump #joebiden
7 May 2024
- Traders along the street revolted against the search stating that the officers were harassing them.
7 May 2024
- There will be construction a new international financial pact as advocated by President Ruto.
7 May 2024
- The order was issued after a closed-door meeting by a section of the legislators.
8 May 2024
- Most of his 'clients' received five-year visa bans from the Canadian embassy for falsified applications.
8 May 2024
- Most of his 'clients' received five-year visa bans from the Canadian embassy for falsified applications.
8 May 2024
- The party's ENDRC last week dismissed all 209 disputes that stemmed from the April 27 exercise.
8 May 2024
- Governor Wanga says county has issued demand letters to defaulters.
8 May 2024
- UK tea giant Lipton to sell 15pc stake to local farmers in deal
8 May 2024
- Kibor's widow claims she is on the verge of eviction
8 May 2024
- Striking doctors, state return to court after failing to reach deal
8 May 2024
- During the pre-trial hearing on Tuesday, the lawmaker said he had been forced to enhance his security.
8 May 2024
- They had threatened to sign their own return-to-work formula and table it in court
8 May 2024
- Lost keys took the fun out of a trip out of town that ended late