Tume ya Uwiano yamwonya Gachagua kwa kuvumisha semi za chuki za kikabila

  • | NTV Video
    827 views

    Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano imemwonya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa madai ya kuvumisha semi za chuki na za kutenganisha jamii kwa misingi ya kikabila.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya