'Tunahofia maisha yetu'

  • | BBC Swahili
    235 views
    Kufuatia hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump kusitisha ufadhili kwa baadhi ya mashirika ambayo pia yamekuwa yakihusika katika usambazaji wa dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI barani Afrika, hatimaye baadhi ya watu wanaoishi na virusi hivyo wameonesha wasiwasi wao kupata dawa hizo hivyo kuitaka serikali kuona umuhimu wa upatikanaji endelevu wa dawa hizo ili kuyanusuru maisha ya watu hao. Martha Saranga ameiandaa taarifa ifuatayo - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw