Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano yasiyokuwepo"

  • | BBC Swahili
    50,095 views
    Katika sehemu hii ya pili ya mazungumzo na BBC, Tundu Lissu anaanza kwa kumueleza Sammy Awami ikiwa atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa Chadema, uongozi wake utakuwa wa 'mshike mshike' na uliojaa mapambano ya kudai mabadiliko ya kisiasa nchini #bbcswahili #siasa #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw