Tundu Lissu kusalia rumande kwa wiki mbili. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    53,641 views
    Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema, Tundu Lissu anakabiliwa na mashtaka ya uhaini miongoni mwa mengine matatu. Lissu alifikishwa mbele ya hakimu Mkazi wa mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Mahakama hiyo imemuamrisha kuzuiliwa rumande hadi pale kesi yake itakapo tajwa tena.