Ubalozi wapokea wachezaji wa Kenya

  • | Citizen TV
    1,333 views

    Timu Kenya katika michezo ya olimpiki ya Paris 2024 imehimizwa kutia bidii katika michezo hiyo iliyoanza jumatano, na sherehe za ufunguzi zimepangwa kufanyika ijumaa usiku.