- 7,766 viewsDuration: 1:50Kwa mara ya kwanza katika historia ya siasa za vyama vingi nchini Tanzania, wagombea urais wanawake wamejitokeza kwa wingi na kwa nafasi ya juu ya kisiasa kuliko wakati mwingine wowote. Je, unadhani hatua hii italeta mabadiliko katika siasa za Tanzania? Lizy Masinga anaelezea #bbcswahili #tanzania #uchaguzi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw