Uchaguzi unafanyika leo Costa Navarino, Ugiriki

  • | Citizen TV
    173 views

    Kinyang’anyiro cha kumrithi Thomas Bach kama rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki kitafikia kilele leo, ambapo wawaniaji watatu wakuu wanapigiwa upatu