Uchaguzi wa UDA

  • | Citizen TV
    342 views

    Baadhi ya wanachama wa UDA wanaogombea nyadhifa mbalimbali wametaka uchaguzi huo kuahirishwa kwa madai kuwa hakuna uwazi katika zoezi hilo. Wanadai hadi sasa hawajapokea taratibu zozote kuhusu uchaguzi huo na kuwa huenda kuna njama ya kuibaka demokrasia na kuwa tayari kuna majina ya watu katika kila eneo Bunge. Wametaka chama cha UDA kuingilia kati na kutatua mzozo huo.