Uchangishaji wa damu Bungoma

  • | Citizen TV
    187 views

    Wafanyikazi wa Kituo cha Huduma na Wizara ya Afya katika kaunti ya Bungoma wamejitokeza kutoa damu ili kuwasaidia Wagonjwa wanaokabiliwa na tatizo la uhaba wa damu.