Skip to main content
Skip to main content

Uchunguzi wa maiti waliouawawa katika uwanja wa Kasarani na Nyayo wadhibitisha waliuwawa kwa risasi

  • | Citizen TV
    25,445 views
    Duration: 4:06
    Upasuaji wa miili ya watu waliouawa katika uwanja wa Kasarani na Nyayo wakati wa maombolezi ya marehemu waziri mkuu wa zamani Raila Odinga, umethibitisha kuwa walifariki kwa kupigwa risasi. Risasi zilizopatikana kwenye miili ya Evans Kiche pamoja na Vincent Otieno Ogutu zimekabidhiwa mamlaka ya IPOA kwa uchunguzi zaidi. Hata hivyo, mwili mmoja umesalia makafani ya City bila kutambuliwa.