Uchunguzi waanzishwa kubaini chanzo cha moto katika shule ya Moi Girls

  • | Citizen TV
    2,096 views

    Usimamizi Wa Shule Ya Upili Ya Moi Girls' Nairobi Umesema Uchunguzi Unaendelea Kujua Kilichosababisha Mkasa Wa Moto Uliotokea Jana Jioni Na Kuteketeza Bweni Moja