UFADHILI WA ELIMU HOMABAY

  • | Citizen TV
    136 views

    Wanafunzi zaidi ya 400 kutoka familia za mapato kidogo kaunti ya Homa bay wamejinufaika na ufadhili wa masomo maarufu kama Fins to swim uliofadhiliwa na gavana wa kaunti hiyo Gladys Wanga.

    Akizindua mpango huo wa ufadhili wa elimu, Gavana Wanga amesema Kuna haja ya kuimarisha elimu hasa ya wasichana wakati huu ambapo jinamizi ya mimba za utotoni limekithiri katika kaunti hiyo