Ufanisiwa ugatuzi : Wabunge wakosolewa kwa kuhujumu ugatuzi

  • | KBC Video
    8 views

    Wawakilishi wadi katika kaunti ya Kiambu wanalishutumu bunge la taifa kwa kuhujumu ugatuzi kupitia kupunguza fedha zinazotengewa majukumu yaliyogatuliwa. Wakiongozwa na kiongozi wa wengi kwenye bunge hilo, Godfrey Muceke, wawakilishi wadi hao walisema watatafuta mbinu za kisheria kushughulikia suala hilo baada ya bunge la taifa kudhamirria kupunguza fedha zilizotengewa barabara miongoni mwa miradi mingine. Hali kadhalika wanalirai bunge la seneti kuingilia kati suala hilo kama sehemu ya kulinda ugatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News