Skip to main content
Skip to main content

Ufisadi ni saratani; haiwezekani mafisadi kupigana nao, tatizo ni wananchi kuwachagua tena-Cornelius

  • | TV 47
    24 views
    Duration: 5:12
    "Ufisadi umekuwa kama saratani nchini. Hivi karibuni Rais Ruto aliteua jopo la kupambana na ufisadi, jambo linalochekesha mno; ni sawa na kudai mbu wapambane na malaria. Haiwezekani viongozi wafisadi kupigana na ufisadi. Shida kubwa iko kwetu wananchi, kwa sababu kila uchaguzi tunawachagua tena viongozi wale wale mafisadi, tukigeuza kura kuwa kama biashara ya “nipe pesa, nikupe kura. - Cornelius Kitonga, Kiongozi wa Vijana #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __