Skip to main content
Skip to main content

Chid Benzi: Sijawahi kukubaliana na chama chochote cha siasa

  • | BBC Swahili
    16,017 views
    Duration: 39:30
    Msanii wa Bongo Fleva Rashid Makwiro almaarufu Chid Benz anasema anaogopa kuchanganya sanaa yake na siasa kwasababu yeye kama msanii ni wa jamii yote, Chid anasema licha ya kutafutwa na vyama mbalimbali vya siasa lakini amekua akiikataa mialiko hiyo licha kuzitamani fedha nyingi zinazotolewa na wanasiasa na vyama vya sisasa. @officialchidibenz amerejea kutoka nyumba ya nafuu ‘Sober House’ siku za hivi karibuni na ameonekana kuimarika kiafya na sasa anajidhatiti kurejea tena kwenye muziki kwa kishindo kama ilvyokua awali alipokua akitamba na vibao kama ngoma itambae na mashallaah. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds alizungumza naye. #bbcswahili #tanzania #bongofleva Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw