- 16,117 viewsDuration: 2:52Chama cha Wiper Patriotic Front kimemuidhinisha rasmi kinara wa chama hicho Kalonzo Musyoka kuwania kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka wa 2027. Katika kongamanao la wajumbe wa chama hicho uliofanyika hapa jijini Nairobi, Kalonzo Musyoka amesema kuwa yuko tayari kuwarai vinara wengine wa upinzani kumuunga mkono katika mchakato wa kumuondoa Rais William Ruto mamlakani