Ugonjwa Tatanishi Kakamega: Mtu mmoja amefariki, wengine 11 wakilazwa hospitalini

  • | KBC Video
    1,253 views

    Mtu mmoja amefariki huku wengine 11 wakilazwa hospitalini kufuatia mkurupuko wa ugonjwa wa kutatanisha katika kijiji cha Mbaka, eneo bunge la Ikolomani, kaunti ya Kakamega. Familia ya marehemu Faith Ilanda mwenye umri wa miaka 26, ambaye alifariki baada ya kuugua, ilisema kuwa jamaa wao alilalamikia maumivu ya mwili, kuwangwa na kichwa na kuendesha siku mbili kabla ya kifo chake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive