Uhifadhi mazingira : Mipango mbalimbali ya upanzi miti yazinduliwa

  • | KBC Video
    5 views

    Angalau kaunti tano zinakumbwa na makali ya ukame huku idara ya utabiri wa hali ya hewa ikidokeza kuwa sehemu kadha zitapokea viwango duni vya mvua wakati wa msimu huu wa mvua. Afisa mkuu wa halmashauri ya usimamizi wa hali ya kiangazi humu chini kanali mstaafu Hared Adan amesema kuwa serikali imebuni mpango madhubuti wa kukabiliana na hali hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News